Tambua wewe ni mrithi wa baraka kwa kazi iliyofanywa na wengine.
Baraka zako ili uzichukue unatakiwa kufuata masharti haya.
Baraka zako ili uzichukue unatakiwa kufuata masharti haya.
1 petro 3:8-9
8 Neno la mwisho ni hili; mwe na nia moja, wenye
kuhurumiana, wenye kupendana kama ndugu, wasikitikivu, wanyenyekevu;
9 watu wasiolipa baya kwa baya, au laumu kwa laumu; bali
wenye kubariki; kwa sababu hayo ndiyo mliyoitiwa ili mrithi baraka.
Comments
Post a Comment