Ni maneno mawili KUKUBALI na KUTII .Unaweza ukawa mtii ila
hujakubali,maana yake unatii ila lile uliloagizwa hujakubaliana nalo
moyoni,hulipendi,unafanya kwa sheria tu, hapo bado inabidi uende mbele kidogo
UTII na KUKUBALI ndipo utakapokula mema ya nchi.
(Isaya 1:19 Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi)
Tanatakiwa kukubaliana na kutii yale Mungu anayotuagiza,pia
maagizo mema yoyote tunayoagizwa makazini kwetu,nchini kwetu inatakiwa kukubali
na kutii. Hapo tutakula mema ya nchi.
Comments
Post a Comment