Katika maisha usiwe mtu wa hofu, jitahidi kuwa free hata
kama kuna kajambo kagumu kako
mbele.angalia maisha yako yote mpaka sasa huenda ulikua unatembea na ukungu wa
vi hofu hofu lakini mbona upo na hakuna baya la kutisha lililokupata, unafikiri
hofu ndio iliyokusaidia? usiwe mtu wa hofu.
Unaweza pigiwa simu, unaitwa Polisi, Mahakama, TRA, unaweza ukawa unafukuzana
na deadline ya project, umeitwa mahakamani n.k.ila jitahidi usiruhusu mambo
yanayoweza leta hofu kwako.ila kama linatokea ondoa hofu.
Comments
Post a Comment