Kama watoto wa MUNGU inatakiwa kufuata tabia za Mungu kama
uzao wake.mfano mtoto wa mnyama yoyote hufuata tabia zao.na sisi kama watoto wa
Mungu, tunafuata tabia za Mungu.Mungu ni upendo anawapenda wabaya na wema hivyo
nasi tunatakiwa kuwapenda adui zetu, kuwaombea wanaotuuzi na kuwabariki wanaotulaani.
Kama hufanyi hivyo wewe unakuwa sio mwana wa Mungu.kama sio mwana wa Mungu
utakua mwana wa nani?Chukua hatua za kubadilika haraka.
Wafeso 5:1 (Ephesians 5:1)
1 Hivyo mfuateni Mungu, kama watoto wanaopendwa;
1 Therefore, be imitators of God as dearly loved children.
Comments
Post a Comment